TANGAZO LA FURSA YA AJIRA

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kinawatangazia wananchi uwepo wa fursa za ajira kwa nafasi ya Mkataba wa Miaka Miwili unaoweza kuhuishwa, kwa waombaji wenye sifa stahiki kama ifuatavyo:
1. Aina ya Ajira
-
Mkataba wa miaka miwili unaoweza kuhuishwa.
2. Daraja la Leseni
-
Daraja A, A1 na A3.
3. Masharti Muhimu
-
Mwajiri atalipia gharama zote za usafiri wa kutoka nyumbani hadi kituo cha kazi kwa kipindi cha miezi miwili ya mwanzo wa ajira.
4. Ratiba na Maeneo ya Usaili
Dar es Salaam
-
Tarehe: 19, 20 na 21 Januari, 2025
-
Mahali: Jengo la Tahmeed Lumumba, Kariakoo
-
Ghorofa ya 2
Mwanza
-
Tarehe: 22, 23 na 24 Januari, 2025
-
Mahali: Jengo la Exim Bank
-
Ghorofa ya 3
Tanga
-
Tarehe: 26, 27 na 28 Januari, 2025
-
Mahali: Jengo la Anjuman
5. Utaratibu wa Kutuma Maombi
Waombaji wote wanatakiwa kuwasilisha Wasifu Binafsi (Curriculum Vitae – CV) kupitia njia zifuatazo:
-
Tovuti: https://www.targettours.co.tz
-
Baruapepe: info@targettours.co.tz
-
Simu:
-
+255 784 989 905
-
+255 766 712 222
-
+255 764 375 757
-
Baada ya kuwasilisha maombi, waombaji wanapaswa kujisajili pia kupitia tovuti ya ajira ya serikali:
👉 https://jobs.kazi.go.tz
Limetolewa na:
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
Dodoma
29 Desemba, 2025