Viwango vya Mshahara wa Askari Zimamoto Tanzania 2025 Mishahara ya Askari zimamoto nchini Tanzania hutofautiana sana kulingana na cheo, miaka ya uzoefu, na kiwango cha majukumu.
Kwa Askari zimamoto wa ngazi ya chini (entry-level), makadirio ya mshahara wa kila mwezi ni kati ya takribani 379,000 TZS kwa waajiriwa wapya hadi takribani 1,080,000 TZS kwa wale wenye uzoefu mkubwa, kwa mujibu wa taarifa za WorldSalaries.
Kwa maafisa wa ngazi za juu, kama Fire Chiefs, mishahara huwa mikubwa zaidi kutegemea cheo, majukumu, na uzoefu.
Askari wa kawaida: Tsh 400,000 – 600,000
Inspecta: Tsh 800,000 – 1,000,000
Afisa: Tsh 1,200,000 – 1,500,000
Muhtasari wa Mishahara ya Askari zimaMoto Tanzania
1. Maafisa wa ngazi ya chini (Firefighters)
Mishahara hutegemea kiwango cha uzoefu:
-
Waajiriwa wapya (miaka 0–2): ~ 379,000 TZS kwa mwezi
-
Uzoefu wa kati (miaka 5–10): ~ 748,000 TZS kwa mwezi
-
Uzoefu mkubwa (miaka 20+): ~ 1,080,000 TZS kwa mwezi
2. Maafisa wa ngazi ya juu (Fire Officer, Fire Inspector, Fire Chief)
Mishahara huwa juu zaidi kulingana na cheo:
Kwa mfano, Fire Chief anaweza kupata takribani:
-
875,000 TZS kwa mwezi kwa uzoefu mdogo
-
1,800,000 – 2,000,000 TZS au zaidi kwa uzoefu mkubwa
READ THIS:
3. Mambo yanayoathiri kiwango cha mshahara
-
Cheo
-
Miaka ya utumishi
-
Elimu na mafunzo maalumu
-
Eneo la kazi (miji mikubwa dhidi ya vijijini)