Kundi la Simba Caf Champions League 2025/2026
Timu ya soka ya Simba imepangwa katika Kundi D kwenye mechi za Caf champions league msimu huu wa 2025/2026 timu ya soka ya Simba imepangwa na timu za Esperance ya Tunisia, Atletico De Luanda ya Angola na Stade Marien ya Mali.

SOMA HII:
- Kundi la Azam Fc CAF Confederation Cup 2025/2026
- Kundi la Singida CAF Confederation Cup 2025/2026
- Kundi la Yanga CAF Champions League 2025/2026
- Kundi la Simba Caf Champions League 2025/2026