Nafasi za kazi 2592 za walimu wa Hisabati October 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 2592 za walimu wa hisababti kama ilivyoainishwa katika tangazo hili;
| S/N | ADVERT NAME | EMPLOYER NAME | CLOSE DATE | ACTION |
|---|---|---|---|---|
| 1 |
MWALIMU DARAJA LA III B – HISABATI (MATHEMATICS)
Number of Posts: 709
|
MDAs & LGAs
|
01/11/2025
|
|
| 2 |
MWALIMU DARAJA LA III C – HISABATI (MATHEMATICS)
Number of Posts: 1883
|
MDAs & LGAs
|
01/11/2025
|
APPLY HERE
DOWNLOAD PDF HERE
READ THIS: