Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025
Jeshi la Magereza mwaka huu 2025 lilitangaza nafasi mbalimbali za kazi kwa watanzania baada ya kutangaza nafasi hizo watanzania wengi walijitokeza kuomba nafasi hizo baada ya kuchakata maombi hayo Jeshi la magereza limetangaza majina ya waliochaguliwa kwenda kwenye usaili wa nafasi hizo.