Sample ya barua ya Kazi za Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025
Tumekuwekea hapa sample ya barua ya kusimamia uchaguzi mkuu 2025
TRECIOUS TRAVIN,
S.L.P 6235,
MBEYA-TANZANIA.
30/06/2025.
Mkurugenzi Wa Uchaguzi,
Tume Huru Ya Taufa Ya Uchaguzi,
Uchaguzi House,
Eneo La Uwekezaji Njedengwa,
Kitalu D,Kiwanha Na4,
5barabara Ya Uchaguzi,
S.L.P 358,
41107 Dodoma
YAH: OMBI LA KAZI YA MSIMAMIZI WA KITUO CHA KUPIGA KURA
Mimi ni Kijana mtanzania na muhitimu wa Shahada ya kwanza ya elimu katika chuo Kikuu Iringa
Kufuatia tangazo lako la kazi lililotolewa na Tume huru ya uchaguzi kupitia Ninaomba nafasi ya kazi tajwa hapo juu nina Sifa na vigezo vyote vinavyohitajika katika tangazo hilo
Wako Katika Ujenzi wa taifa
…………………
Jina lako :
BOFYA HAPA KUPAKUA WORD
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA WHATSAP HAPA KWA MATANGAZO YA AJIRA