Nafasi za kazi 6732 UTUMISHI June 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 6,732 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.