Jinsi ya Kuangalia Form Five Selection 2025
Hizi hapa hatua za kufuata jinsi ya kuangalia majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2025/2026
JINSI YA KUANGALIA SELECTION FORM FIVE 2025
- Tembelea tovuti rasmi ya TAMISEMI
- Tafuta sehemu inayohusiana na “Form Five Selection” au “Kidato Cha Tano”.
- Bofya kwenye kiungo kinachohusiana na matokeo.
- Ingiza taarifa zako binafsi kama nambari ya mtihani au index number.
- Angalia matokeo yako na uchapishe au uhifadhi nakala kwa ajili ya marejeleo ya baadaye.