Nafasi za kazi 2326 UTUMISHI June 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa pamoja na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, anakaribisha Maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi elfu mbili mia tatu ishirini na sita (2326) kama ilivyoainishwa katika tangazo
Ninaomba nafasi ya ajira kama ilivyotangazwa.