June 18, 2025

2 thoughts on “Nafasi za kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama June 2025

  1. Fani Yangu ni Dereva
    Nimeona kazi ya fani Yangu katika tovuti yenu.
    Mimi ni kijana wa umri wa miaka 35 ninanguvu bado ya kukimbizana na hali ya uchumi wa sasa
    Nina uzoefu wa kutosha katika fani hii ya Udereva usiopungua miaka 20 sasa.
    Nina viambatanishi na vigezo vya fani hii ya udereva
    Asante ..
    Wenu katika hili
    Benard Tawete

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *