Nafasi za kazi Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi June 2025
Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi anawatangazia Wananchi wote wenyesifa kuomba nafasi mbalimbali za kazi kwa Mkataba kwa muda wa mwaka mmoja. Nafasi husika ni kama ifuatavyo; –
PAKUA HAPA PDFÂ
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15.06.2025 na nyaraka zote ziunganishwe katika PDF moja
15.Maombi yote yatumwe kwa njia ya Barua pepe: – info@katavirrh.go.tz