Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga kuomba nafasi za kazi zilizotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali chenye Kumb. Na. FA.228/613/01G/085 cha tarehe 12 Mei, 2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Description | Closing Date |
---|---|
POST:Â DEREVA DARAJA II – 7 POST Employer:Â Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga More Details |
2025-06-17 Â Login to Apply |
POST:Â MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 4 POST Employer:Â Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga More Details |
2025-06-17 Â Login to Apply |
 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MWANGA 02-06-2025