Nafasi za kazi za watunza kumbukumbu June 2025
Sekretarieti ya Ajira nchini kupitia Ajira Potal wametangaza nafasi mbalimbali za kazi kwa wasaidizi wa kumbukumbu au watunza kumbukumbu tumekuwekea hapa nafasi hizo za kazi za watunza kumbukumbu hao.
Description | Closing Date |
---|---|
POST:Â MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 3 POST Employer:Â Halmashauri ya Wilaya ya Mlele More Details |
2025-06-03 Â Login to Apply |