Nafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu 2025
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu anawatangazia nafasi za kazi watanzania wote wenye sifa za kuajiriwa katika nafasi ya Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja II, Afisa Maendeleo ya Jamii Msaidizi Daraja II, Msaidizi wa Maktaba Daraja II na Dereva Daraja la II. Hii ni kutokana na Kibali kilichotolewa kwa barua yenye
Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili 2025, kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Naomba nafasi ya kuwa afisa maendeleo katika halimashauri
Naomba kuwa afisa maendeleo ya jamii katika wilaya
APPLICATION ON HEALTH ATTENDANT
https://shorturl.fm/PFOiP