Nafasi za kazi Halamshauri ya wilaya ya Mvomero 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye
Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025. Hivyo Watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo:-
Description | Closing Date |
---|---|
POST:Â MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 2 POST Employer:Â Halmashauri ya wilaya ya Mvomero More Details |
2025-06-03 Â Login to Apply |
POST:Â DEREVA DARAJA II – 7 POST Employer:Â Halmashauri ya wilaya ya Mvomero More Details |
2025-06-03 Â Login to Apply |
https://shorturl.fm/68Y8V
https://shorturl.fm/A5ni8
https://shorturl.fm/0EtO1
https://shorturl.fm/0oNbA
https://shorturl.fm/IPXDm