Nafasi za kazi Halmashauri ya Itigi Singida May 2025
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wililayaa ya Itigi amepokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kilichotoa idhini ya utekelezaji wa nafasi za Ajira Mpya katika ikama ya mwaka wa fedha 2024/2025 chenye Kumb. Na. FA. 97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025. Hivyo anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kutuma maombi ya kazi katika nafasi zifuatazo:
Description | Closing Date |
---|---|
POST:Â DEREVA DARAJA II – 2 POST Employer:Â Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, More Details |
2025-06-03 Â Login to Apply |
https://shorturl.fm/a0B2m