May 16, 2025

23 thoughts on “Majina ya walioitwa kazini UTUMISHI 2025

  1. Naomba kazi Mimi ni mdau wa C.W.T pia nimefungua tawi LA C .W.T chuo cha SAUT-MWANZA tarehe 06/06/2024

  2. Pongezi Kwa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania iliyoko madarakini, Kwa namna ambavyo mmejitahidi kuajiri hasa Katika sekta ya afya na elimu, Mungu akupe maisha maerefu mweshimiwa DR SAMIA SULUHU HASSAN na wasidizi wako, richa ya kwamba hamuwezi kutuajiri wote, binafsi naipongeza sana Sana serikali Yangu . Ikiwapendeza walimu wote waliokaa mtaani Muda mrefu wapewe kazi.

    1. serikali yetu sikivu tunaamini ipo siku walimu wote tutaajiriwa,tunaomba mtuangalia kwa namna ya pekee hasa walimu wale tuliomaliza kuanzia 2015 ,2016.wengi umri unakwenda ,bado wapo wapo TU mtaani

  3. HONGERA NYINGI KWA SERIKALI YETU PENDWA KAZI YENU NI NJEMA, MUNGU AWAONGIZE VYEMA KATIKA KULITUMIKIA TAIFA HASA KUJALI MASRAHI YA VIJANA KWANI NDIO NGUVU KAZI YA TAIFA LETU. MSITUSAHAU KATIKA KUTUPATIA AJIRA PINDI NAFASI ZINAPOPATIKANA KWANI UHITAJI WETU NI MKUBWA SANA. ALL IN ALL GOD BLESS TANZANIA, BLESS OUR PRESIDENT OUR LOVELY MUMY SAMIA SULUHU HASSAN.

  4. April 26 2025
    Naomba kazi mimi ni records management assistant nipo mkoa wa Dar es Salaam nina miaka 8 sasa hivi sijapata kazi duuh niangalie jicho la piliπŸ™πŸ™

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *