Nafasi za kazi Wilaya Liwale May 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale kwa kushirikiana na Shirika lisilo la Kiserikali lijulikanalo kama Medecins Frontiers/Doctors Without Borders (MSF) wanaoshughulika na utoaji wa Huduma ya Mama na Mtoto, anatangaza kazi za Mkataba kwa miezi sita sita za Afya kwa kada zifuatazo;