Majina ya waliochaguliwa JKT Kidato cha Sita 2025
Jeshi la kujenga Taifa JKT Leo wametangaza majina ya wanafunzi wa kidato cha sita waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria kwa mwaka 2025, Wanafunzi hao wa kidato cha sita wanatakiwa kusoma muongozo wa tarehe za kuripoti makambini na vifaa ambavyo wanatakiwa kuwa navyo.
Kunagalia majina ya wanafunzi wa kidato cha sita waliochaguliwa JKT Bofaya link hapa chini
Loans
Name for those who are getting loans