Nafasi za kazi Za Wahasibu Serikalini May 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara, Idara zinazo jitegemea, Wakala za Serikali, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi ishirini na moja (21) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
1.0 MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT II) NAFASI – 20
I saw an advertisement about job application that requires the account but my professional is banking and finance. so am looking for that position because I’m competent and I have enough skills about finance. education level is Diploma
How to apply