Nafasi za kazi Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ 2025
Mkuu wa Jeshi la ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Jenerali Jocob John Mkunda ametangaza nafasi za kuandikishwa Jeshi la wananchi Kwa vijana wenye elimu ya Sekondari hadi elimu ya Juu.
Akizungumza leo aprili 30,2025 Makao ya Jeshi Hilo msalato Jijini Dodoma Kwa Niaba ya Mkuu huyo wa Jeshi la ulinzi la Wananchi wa Tanzania Msemaji wa Jeshi hilo Kanali Gaudentius Ilonda amesema kuwa nafasi zinazoandikishwa na Jeshi hilo ni kwa vijana wenye elimu ya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita umri usiozidi miaka 24, Vijana wenye elimu ya Stashahada umri usiozidi miaka 26, Vijana wenye elimu ya Juu umri usiozidi miaka 27 na Madaktari Bingwa wa Binadamu umri usiozidi miaka 35 ya kuzaliwa.
Kanali Ilonda amesema kuwa utaratibu wa Maombi hayo yaandikwe Kwa mkono na Muda wa kuwasilishwa Maombi hayo ni kesho mai 1 ,2025 na mwisho mai 14 2025 na yaambatanishwe na nakala ya kitambulisho Cha Taifa pamoja na namba ya NIDA, nakala ya cheti Cha kuzaliwa, Cheti Cha shule, chuo na namba ya simu ambayo itakuwa rahisi Kwa mawasialiano.
Aidha Kanali Ilonda ametoa angalizo baada ya kutangaza nafasi hiyo ya kuandikishwa Jeshini ambapo amesema kuwa wananchi wasikubali kutapeliwa na matapeli Kwa kisingizio Cha kupata nafasi ya Jeshi Kwa kutoa fedha
“Nitoe angalizo Kwa wananchi Hakuna nafasi ya kuandikishwa Jeshini Kwa kutoa fedha msikubali kutapeliwa” – amesema Kanali Gaudentius Ilonda
BOFYA HAPA KUTUMA MAOMBI
SOMA HII
Ni njia ipi tunatumia kutuma maombi haya maana mara ya kwanza tulituma kwa kutumia posta nq awamu hiii tunatumq kwa kutumia njia zipi
ANTONY ERNEST DEUS
Job
Nafasi za kazi jeshi la wananchi Tanzania JWTZ 2025
Mimi benard amiry yahaya naomba nafasi katika jeshi la wananchi
My comment on this I take that opportunity to congradurate all Tanzanian leader’s for your good job you have done and nice supervised. So I would like to join with you. Thank you
Malik Hamad khatibu
S.L.P 4545
MTONI KIDATU
2/5/2025
MKUU WA UTUMISHI JESHINI,
MAKAO MAKUU YA JESHII,
S.L.P 194
DODOMAA
Ndugu
Y.A.H : MAOMBI YA NAFASI YA JESHI
Tafadhali husika na mada iliyo hapo juu.
Mimi MALIK HAMAD KHATIB kijana mwenye umri wa miaka 23 mkazi wa MTONI KIDATU Nilie hitimu elimu yangu kidato Cha nne mwaka 2024 nikiwa na passi masomo yangu kiswahili C. DINI C. n.k
Kwa mujibu wa tangazo mulilolitoa naomba kuandikishwa nafasi ya hiyo ya kuandikishwa JESHINI
Mie ni mtanzani na nimekidhi sifa zote zilizo orodheshwaa katika tangazo Hilo na nnaahidi kililinda taiga langu katika hali yoyote na mahali popote ndani ya nchi yangu
Nina Imani ombili langu litakubakiwaa .
Wako katika mkuu wa JESHINI
M.H.KHWATIB
0679505342.
Namba ya nida
20021005-71111-00001-26
Nimezaliwa 2002/5/10
The System does not working.