Jinsi ya Kutuma maombi ya kazi za JWTZ 2025
Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ wametangaza nafasi za kujiunga na keshi hilo kwa mwaka 2025 Tumekuwekea hapa sifa na vigezo vya kujiunga lakini namna gani ya kutuma maombi
- Vijana wenye Elimu ya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita umri usiozidi miaka 24.
- Vijana wenye Elimu ya Stashahada umri usiozidi miaka 26.
- Vijana wenye Elimu ya Juu umri usiozidi miaka 27.
- Madaktari Bingwa wa Binadamu umri usiozidi miaka 35 ya kuzaliwa.
- Awe Mtanzania mwenye kitambulisho cha Taifa.
- Awe na afya nzuri na akili timamu na hajapatikana na hatia yoyote ya makosa ya jinai mahakamani na kufungwa.
- Awe na cheti halisi cha kuzaliwa, vyeti vya shule na vyeti vya taaluma.
- Awe hajatumikia Jeshi la Polisi, Magereza, Chuo cha Mafunzo au Kikosi cha Kuzuia Magendo.
- Awe amehitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) au kwa mujibu wa Sheria na kutunukiwa cheti.
UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI
Maombi hayo yaandikwe Kwa mkono na kuwasilishwa Kuanzia kesho tarehe 1 May na hadi tarehe 14 May 2025.
Maombi hayo yaambatanishwe na;
- Nakala ya kitambulisho Cha Taifa au namba ya NIDA.
- Nakala ya cheti Cha kuzaliwa.
- Cheti Cha Shule na Vyuo pamoja na
- Nakala ya cheti cha JKT kwa waombaji waliomaliza mkataba wa kujitolea na nambari ya simu ya mkononi ya mwombaji.
MAOMBI YATUMWE KWA ANWANI HII
MKUU WA UTUMISHI JESHINI,
MAKAO MAKUU YA JESHI,
S.L.P 194,
DODOMA, TANZANIA
SOMA HII
Kasebeleedward262@gmail.com
Nafasi za jeshi JWTZ
Ambao wapo kwenye ajira wanahurusiwa kuomba?
Je maombi yanatumwa online?
Mkuu wa utumishi jeshini Makao Makuu ya Jeshi SLP194 Dodoma Tanzania
Good job
I really need to be a soldier
Ajira
God bless our country together we can
God bless our country
Mohdrajab512@gmail.com Zanzibar
Je maombi yanatumwa kwa njia gani ya online au??
GOOD
God bless our country