Fahamu Taarifa zaidi kuhusu ajira 33,212 Kutoka serikalini Mwaka 2025
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene.
Rais Samia Suluhu Hassan jana ametoa kibali cha ajira kwa nafasi 33,212 za mwaka wa fedha unaoisha 2024/25 huku kada ya walimu ikipangiwa kupata nafasi 10,000 ambazo hazitafanyiwa usaili watachukuliwa kwenye Kanzidata.
AJIRA HIZO ZITAKUWA ZA KADA MBALIMBALI KAMA IFUATAVYO
- AFYA
- WALIMU
- MAENDELEO YA JAMII NA USTAWI WA JAMII
- WAHASIBU
- WAHANDISI
- KILIMO
- BIASHARA
- USAFIRISHAJI
- WASAIDIZI WA OFISI NA KUMBUKUMBU
- NAKADA ZINGINE
KWA UNDANI ZAIDI ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
BOFYA HAPA KUTUMA MAOMBI