Matokeo ya Usaili wa kuandika Mbeya Jiji April 2025
Halmashauri ya Jiji la Mbeya tarehe 22 mwezi wa nne mwaka 2025 waliendesha zoezi la Usaili kwa kada mbalimbali wakiwemo walimu.
Baada ya mchakato huo kukamilika kwa wasailiwa kufanya mtihani haya hapa matokeo ya Usaili wa kuandika waliofaulu wote wanatakiwa kufika kwenye usaili wa Mahojiano April 25 katika ukumbi wa Mkapa.
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO ( ORAL III C)-April 23, 2025
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO (ORAL III B)-April 23, 2025
- TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAZUNGUMZO(ORAL III A)-April 23, 2025