Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba Ajira ya Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II. Tangazo hili ni baada ya kupokea kibali cha Ajira Mbadala chenye Kumb. Na. FA.228/613/01F/028 cha tarehe 21 Januari, 2025 toka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora. Mchanganuo wa nafasi ni kama ifuatavyo:-