Jinsi Ya Kupata Barua Ya Kuripoti Kazini Bila Kwenda UTUMISHI Dodoma
BARUA ZA KURIPOTI KAZINI KIDIGITALI
Barua za kuitwa kazini sasa zinapatikana katika akaunti ya Ajira Portal.
Jina lako likitokea katika Tangazo la kuitwa kazini kupitia tovutu ya Utumishi Fata hatua zifuatazo kupata barua yako
- Nenda kwenye akaunti yako ya Ajiraportal
- Kisha nenda sehemu ya MY APPLICATION
- Pakua barua yako ya ajira na ukaripoti kazini
Nakala za barua za waajiri pia zitapatikaa katika akaunti ya Ajiraportal