Ratiba ya SIMBA vs Stellenbosch Nusu Fainali Caf Confederation Cup 2024/2025
Timu ya soka ya Simba imefuzu kucheza hatua ya Nusu fainali na timu ya Stellenbosch Fc Kutoka Africa kusini mechi ya kwanza itachezwa Benjamin Mkapa Stadium April 20 na mechi ya marudiano itachezwa Africa Kusini April 27 mwaka huu 2025.