Majina ya walioitwa kwenye usaili ZIMAMOTO 2025
Haya hapa majina ya waliochaguliwa kwenda kwenye usaili jeshi la zimamoto baada ya mchakato wa kuchuja kukamilika
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji anayo furaha kukujulisha kuwa umechaguliwa kwenye orodha ya walioteuliwa (SHORTLISTED) kwa nafasi uliyotuma maombi.
Usaili utafanyika katika Ofisi za Kanda za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ulizochagua wakati wa maombi tarehe 5 Aprili, 2025 kwa waombaji wa ngazi ya Kidato cha Nne, na katika Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Dodoma, kuanzia tarehe 14 Aprili, 2025 kwa waombaji wa Taaluma Maalum (Professional Cadres).
Majina ya Usaili Zimamoto tayari yametoka tembelea account yako kuona kama umeitwa.
BOFYA HAPA KUSOMA MAJINA KWA PDF FANI MBALIMBALIÂ
BOFYA HAPA KWA WALIOOMBA KWA LEVEL YA FORM FOURÂ
BOFYA HAPA KUONA WALIOITWA MAFUNZO ZIMAMOTOÂ
Nice
Majina walioitwa usairi jesh la zimamoto
Sorry nilikuwa Naomba
unitumie orodha ya majina ya walio chaguliwa na jeshi la zimamoto kama utakuwa nayo
Majina yawalooitwa kweny usaili wa zimamoto
Nayapataje ayo majina dear maan mim nimeomba ila sijapokea notification Yoyote
Majina yametoka kweli?
Form four
ina maana wengi ni form four au
Form four
Majina ya jeshi la zimamoto kwenye usaili
Majina ya walioitwa kwenye usaili jeshi la zimamoto na uokoaji
Mbn jinalangu silioni kulikon jaman
Nimeandika email yangu lkn jina silioni naomben msaada