Sample ya Barua ya Maombi Ajira za Polisi 2025
TRECIOUS TRAVIN,
P.O BOX 6235,
MBEYA.
2025.
MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANIA,
MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI,
S.L.P 961,
DODOMA
YAH: MAOMBI YA NAFASI YA KAZI JESHI LA POLISI
Rejea somo tajwa hapo juu.
Mimi ni kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 25, nimehitimu masomo yangu ya ya kidato cha nne 2018 katika shule ya sekondari dar es salaam, kwa mujibu wa tangazo lenu lilitolewa na wavuti ya jeshi la polisi   ninaomba nafasi ya kazi kwa wenye elimu ya kidato cha nne(KAMA UNAOMBA KWA DEGREE,DIPLOMA NA CERTIFICATE ANDIKA TAARIFA ZAKO ZA CHUO NA NAFASI UNAYOOMBA)
Nina uwezo wa kufanya kazi hio kwa weredi na kwenye mazingira yeyote yale.
Natumai ombi langu litapokelewa.
Wako katika ujenzi wa taifa
………………………………………..
TRECIOUS TRAVIN
0767000000
Ask for job
Tuzingatiwe vijana wazalendo