Maswali ya Usaili Ajira za TRA 2025 –TRA Interview Questions 2025
Mamlaka ya mapato Tanzania itaendesha usaili kwa wasailiwa watakao chaguliwa katika kada mbalimbali hivi karibuni.
Hivyo basi katika usaili huo kutakuwa na usaili wa aina mbili Usaili wa kuandika na usaili wa mahojiano
katika saili hizo wasailiwa watapaswa kupata alama stahiki kwa kila mmoja ili kuendelea na usaili wa mahojiano na kisha kupangiwa vituo vya kazi
Yafuatayo ni maswali mbalimbali ya usaili wa ajira za TRA mwaka 2025