KUNDI la Tanzania AFCON 2025 Morocco
Shirikisho la soka Afrika (CAF) leo January 27 limechezesha droo ya kupanga Makundi ya michuano ya AFCON 2025 itakayofanyika nchini Morocco mwezi Kuanzia tarehe 21 December 2025 hadi hadi 18 January 2026
Tanzania imepangwa Kundi C na Mataifa ya Tunisia, Uganda na Nigeria ambao ni Mabingwa mara tatu wa michuano hiyo.
Hii ni AFCON ya pili mfululizo kwa Tanzania kushiriki ya nne katika historia yake ya Soka.
Droo hiyo imefanyika jijini Rabat nchini Morocco.
Group C
- Nigeria
- Tunisia
- Uganda
- Tanzania
