Matokeo Ya Kidato Cha Nne 2024
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limesema kati ya watahiniwa 477,262 waliofaulu mtihani wa Kidato cha Nne, wasichana ni 249,078 sawa na asilimia 52, na wavulana ni 228,184 sawa na asilimia 48.
Aidha, limesema kwa kuangalia ubora wa ufaulu wa jinsi, kwa kuzingatia ufaulu wa madaraja ya I-III, wavulana ni 119,869 sawa na asilimia 54 na wasichana ni 102,084 sawa na asilimia 46.
NECTA imebainisha kuwa wasichana wamefaulu wengi huku wavulana wakifaulu vizuri zaidi.
Kuangalia MATOKEO bofya hapa link hapa chini