Employment Opportunities at Police Force Tanzania Ajira za Polisi 2021

Employment Opportunities at Police Force Tanzania

Employment Opportunities at Police Force Tanzania Ajira za Polisi 2021 New Job Opportunities at Police Force Tanzania 2021 Job Opportunities at Police Force Tanzania 2021 Job Opportunities at Jeshi la Polisi Tanzania 2021 The police force in Tanzania is a national body that falls under the Ministry of Home Affairs and is lead by the Inspector General of Police. The Tanzania Police Force (TPF) is divided into five departments, which fall under the control of individual Commissioners Ajira za polisi 2021|Nafasi za kazi polisi 2021|Ajira jeshi la polisi 2021|Tangazo La Ajira Jeshi la Polisi

The letter should be accompanied by a copy of the Academic certificate), certificate of profession studied, birth certificate, Leaving certificate, National Identity Card (NIDA) or NIDA number.

The applicant is required to complete the form (appendix no 2) indicating his personal information, which is available on the Police website.

Submission of the form should not be by scan (unless you have a letter and the certificates mentioned above.

All applications should be sent via email to admin.phq@tpf.go.tz and not by post. The deadline for applications is 29/9/2021.

The applicant will be required to write a letter of application in his or her hand himself (handwriting) to:-

Inspector General of Police

P.o Box  961

Dodoma.

SOURCE:POLISI OFFICIAL WEBSITE

In terms of external oversight, the Office of the Ombudsman or Permanent Commission of Enquiry, which is an independent body, retains the power to investigate incidents of corruption and abuse of power by public authorities, including members of the police, and make recommendations to the President. The Constitution outlines the jurisdiction of the Ombudsman, which includes the power to investigate members of the Tanzanian and Zanzibar government, members of commissions and any other public authority, excluding the President. In addition, the Offices of the Attorney-General and Auditor-General are empowered to audit the accounts of government and examine records and accounts.

Furthermore, Tanzania’s human rights commission, which is referred to as the Commission for Human Rights and Good Governance (CHRAGG), is responsible for investigating human rights abuses, which includes allegations of police brutality, corruption, and violations of women’s rights, as well as incidents of maladministration. Although CHRAGG’s independence has been questioned, civil society organisations in Tanzania have commended CHRAGG for making valuable contributions to human rights efforts, including the training of high-level police officials. These organisations include the Legal and Human Rights Centre (LHRC), the Centre for Human Rights Promotion, and the Tanzania Women’s Lawyers’ Association, which are also actively engaged in police oversight issues.

28 Replies to “Employment Opportunities at Police Force Tanzania”

 1. Kwa majina naitwa Ester Josephat.ni mkazi wa Manispaa ya Kigoma /Ujiji. Ni binti mwenye umri 25 .sijaolewa. Nafanya kazi shuleni. Shule ya Sekondary Kigoma. Nikiwa kama Secretary wa shule ambaye nimeajiliwa na shule.
  Ninaomba kujumuika nanyi kufanya kazi pamoja. Kwani ni mzoefu wa Computer,pamoja na photocopy mashine .na kazi zingine kwa ujumla zinazousiana na secretary.
  Kwa mawasiliano zaidi 0756490561/ 0620667277.

  1. Kwa majina naitwa uwesu salum kisigi ni mkazi wa kivule dsm umli wangu ni miaka 23 fani yangu ni usukaji vyuma nilisomea chuo cha uvundi chang’ombe dsm ninaomba kujumuika nanyi kufanya kazi kwa ni mzoefu wa kazi ya usukaji vyuma: niko tayali kufanya kazi mawasiliano 0676388455 & 0623697225

 2. Naitwa Abubakar Talib Mussa nipo zanzibar nna umri wa miaka 23. Sijaoa nimeamaliza masomo ya kidatu cha nne mwaka 2017 shule ya Regezo mwendo zanzibar nikafanikiwa kujiunga na kidatu cha 5 na 6 katika shule ya Haile salasie vile vile nimesomea fani ya kilimo.

  0683068802

 3. Kwa majina naitwa Bakari A mshele mtanzania ni mkazi wa Kilimanjaro Ni fundi rangi niliyesomea RVTSC tanga ninavigezo vyote vinavyohitajika na ninauzoefu katika fani nahitaji kujiunga nanyi katika kujenga na kulilinda taifa nipo tayar kufanya kazi
  +255676993644
  +255753798435

 4. Naitwa muktari saidi mtuta mkazi wa dar es salaam charambe nmesoma kilwa masoko fdc ufundi magari ninauzoefu na io kazi naomba nafasi ya kujiunga nanyi katika kulijenga taifa

 5. Naitwa muktari saidi mtuta ni mkazi wa dar es salaam charambe nmesoma chuo Cha ufundi kilwa masoko pia nimetoka na nacheti kizuri Cha vc2 nilisomea ufundi magari ninauzoefu na io kazi naomba nafasi ya kusaidia kulijenga taifa letu.
  +255716382687
  +255788616568

 6. September 25,2021 at 1:30 AM
  Naitwa Tasokwa Michael mkazi wa Dar es Salam /manispaa ya ilala, ni msichana umri miaka 25 sijaolewa. Niliepata mafunzo ya uuguzi usaidizi wa afya jamii katika chuo Chimala- mbeya ,Nina omba kujiunga na nafasi ya polisi kusaidia kujenga taifa letu kwa fani ya uuguzi usaidizi wa Afya.
  +255765959157

 7. Naitwa ZAWADIEL EMMANUEL NNYARI ni mkazi wa KILIMANJARO Wilaya ya SIHA,nina umri wa miaka 22 sijaoa. Nimepata mafunzo ya ufundi wa majokofu na viyoyozi (refrigeration & air conditioning) katika chuo cha RVTSC MOSHI kwa ngazi ya certificate pia ninao uzoefu na kazi hiyo,hivyo ninaomba kujiunga na Jeshi la polisi Tanzania katika kazi hiyo.
  Mawasiliano:0621155701
  :0744291416
  Email:176nnyarizawadee@g-mail.com

 8. Naitwa Salina baltazari karia Nina umri wa miaka26,ni mkazi wa Kilimanjaro mteknolojia dawa daraja la pili.Nimesoma katika chuo cha Kilimanjaro School of Pharmacy.Nina uzoefu wa kutosha ,naomba nafasi ya kujiunga nanyi katika kulijenga taifa
  Mawasiliano
  0655455215
  0687573461

 9. Kwa majina naitwa Ben F.Mtui. Ni mtanzania nimesoma Hadi chuo kikuu muhimbili katika fani ya Radiology .Niko tayari kufanya kazi sehemu yoyote ndani ya nchi na nje ya nchi nitakapewa fursa hii

 10. Kwa majina naitwa Ben F.Mtui. Ni mtanzania nimesoma Hadi chuo kikuu muhimbili katika fani ya Radiology .Niko tayari kufanya kazi sehemu yoyote ndani ya nchi na nje ya nchi nitakapewa fursa hii 0678753208

 11. Naitwa Grayson Jonathan kihongosi
  Mimi nifundi wa umeme wa majumban pia nawezakutengeneza vifaa vinavyo tumia umeme nimesoma chuo Cha veta chang’ombe Dar_ es Salam ninauzoefu wakutosha hivyo naomba nafasi yakujiunga na jesh la police katika kujenga taifa nipo tayar kufanya kazi
  Mawasiliano 0756162733 /0655319655
  Email: kihongosigrayson85@gmail.com

 12. Septemba 28″ 21 at 10:30 Am
  Naitwa Arif Said Hassan
  Mm ni fundi Umeme wa Majumbani
  Pia naweza kutengeneza vifaa vinavyo tumia umeme Nimesomea Chuo cha Ufundi Cha (JKU) jeshi la kujenga uchumi Zanzbar
  Pamoja na kupiga kozi ya uaskar nikiwa kwenye jeshi la kujenga uchumi
  Nipo n uzoefu wa kutosha Naomba nafasi ya kujiunga na jeshi la polisi namba 0622895375.

 13. Naitwa Merina fria Felix
  Mm ni Nurce msaidizi nlisomea chuo cha st glory
  Kilicho kua kimara na nimkazi wa Dar es salam
  Nina uzoefu wakutosha pia kwenye computer
  Hivyo naomba nafasi ya kujiunga na jeshi la police katika
  Kuujenga taifa nipo tayari kufanya kazi.
  Mawasiliano 0719191971
  Email:Marymhagama71@gmail.com

 14. Naitwa Charles Emanuel Zawadi, nimezaliwa mwaka 1993, Ngage simanjiro. Nina fani ya utoaji wa dawa muhimu za binadam phamacy ,Nilisomea katika chuo cha Kilimanjaro school of phamacy (DLDM) lakin pia ni muuguz msaidizi.
  Nitashukuru endapo ombi langu litapokelewa na kufanyiwa kazi.
  Wenu katika ujenzi wa taifa.
  Mawasiliano: 0763725152
  0746872784

 15. Naitwa Merina fria Felix
  Mm ni Nurce msaidizi nlisomea chuo cha st glory
  Kilicho kua kimara na nimkazi wa Dar es salam
  Nina uzoefu wakutosha pia kwenye computer
  Hivyo naomba nafasi ya kujiunga na jeshi la police katika
  Kujenga taifa nipo tayari kufanya kazi.
  Mawasiliano 0719191971
  Email:Marymhagama71@gmail.com

 16. Kwa majina naitwa ABDULL-HALIM MUSSA HASSAN naishi unguja zanzibar,nimemaliza masomo mwaka 2016 elimu yangu ni form four division 4 ujuzi wangu ni fundi mchomeleaji unri wangu ni miaka 26.namba 07142172818 na 0778033663

 17. mm naitwa selemani george ngandila nina umri wa miaka ishirini elimu kidato cha nne na nimehitimu mafunzo ya awali ya jeshi la kujenga taifa nina uzowefu wa ufungi nyumba kwa mawasiliano 0621865101 ni mkazi wa chanika ilala

 18. JINA ISMAIL ALI RASHID nipo mkoa wa kaskazini pemba Wilaya ya Micheweni nimesomea certificate of LOCAL GOVERNMENT ADMINISTRATION katika chuo cha Utawala wa umma hivyo naomba kazi katika jeshi la Magereza ili niweze kulitumikia Taifa langu vizuri zaidi pia umri wangu ni miaka 25

  1. JINA SAID HAJI SAID ni m kazi wa Dar es salaam nina umri wa miaka 26 nmesoma recording management katika chuo cha veta kilichopo chang’ombe jijini Dar es salaam 2015 ( certificate).
   Ninauzoefu wa kutosha maana mnamo 2015 nilifanya field katika hospital ya mwananyamala na 2016 nikajiunga na kampuni ya usambara grocery vegetable & supply company limited .Hivyo ninauzoefu wa kutosha namba za simu 0712538382

   1. September 29 2021 at 11 :23 am
    Kwamajina naitwa loyce mrema yakob ni mkazi wa mwanza mwenye umri wa miaka 20 nimesomea plumbing and pipe fitting katika chuo Cha veta kilichopo mwanza Nina uzoefu wa kutosha mnamo mwaka 2019 nilifanya field yangu katika mamlaka za maji Safi zilizopo jijini mwanza hivyo ninauzoefu wa kutosha namba ya simu 0626708718

 19. Kwa majina naitwa uwesu salum kisigi ni mkazi wa kivule dsm Nina umli wa miaka23 fani yangu ni usukaji vyuma Nina uzoefu wa kutosha nilimaliza chuo cha ufundi chang’ombe dsm mwaka 2017 naomba kujiunga nanyi nitafanya kazi kwa ueledi kutoka na na ujuzi nilio kua nao na uzoefu nilio nao mawasiliano: 0676388455 & 0623697225

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *