Job Opportunities at Police Force Tanzania 2021

Job Opportunities at Police Force Tanzania 2021

Job Opportunities at Police Force Tanzania 2021 Job Opportunities at Jeshi la Polisi Tanzania 2021 The police force in Tanzania is a national body that falls under the Ministry of Home Affairs and is lead by the Inspector General of Police. The Tanzania Police Force (TPF) is divided into five departments, which fall under the control of individual Commissioners Ajira za polisi 2021|Nafasi za kazi polisi 2021|Ajira jeshi la polisi 2021|Tangazo La Ajira Jeshi la Polisi

Oversight of the police is conducted both internally and externally, with internal disciplinary procedures conducted by way of tribunals and other measures by the Principal Secretary of the Ministry of Police and the Inspector-General of Police. Although private citizens are allowed to lay complaints against individual members at police stations, internal oversight mechanisms are not considered effective given the lack of transparency in proceedings and the dis-incentive to lodge complaints.

Job Opportunities at Jeshi la Polisi Tanzania 2021

 

DOWNLOAD FULL PDF HERE

HOW TO APPLY:

Send hand written application letter to

Inspector General Polisi P.o box 961

Dodoma

SOURCE:POLISI OFFICIAL WEBSITE

In terms of external oversight, the Office of the Ombudsman or Permanent Commission of Enquiry, which is an independent body, retains the power to investigate incidents of corruption and abuse of power by public authorities, including members of the police, and make recommendations to the President. The Constitution outlines the jurisdiction of the Ombudsman, which includes the power to investigate members of the Tanzanian and Zanzibar government, members of commissions and any other public authority, excluding the President. In addition, the Offices of the Attorney-General and Auditor-General are empowered to audit the accounts of government and examine records and accounts.

Furthermore, Tanzania’s human rights commission, which is referred to as the Commission for Human Rights and Good Governance (CHRAGG), is responsible for investigating human rights abuses, which includes allegations of police brutality, corruption, and violations of women’s rights, as well as incidents of maladministration. Although CHRAGG’s independence has been questioned, civil society organisations in Tanzania have commended CHRAGG for making valuable contributions to human rights efforts, including the training of high-level police officials. These organisations include the Legal and Human Rights Centre (LHRC), the Centre for Human Rights Promotion, and the Tanzania Women’s Lawyers’ Association, which are also actively engaged in police oversight issues.

85 Replies to “Job Opportunities at Police Force Tanzania 2021”

   1. Mm Joyce P. Swai nimemaliza kidato cha nne mwaka 2018. Nimepata cheti cha form four ufaulu wa masomo yangu ni kama ifuatavyo: Kiswahili B ,EnglishD ,Biology D ,History,D hayo ni baadhi ya alama zangu . Nimatumaini yangu kuwa kutokana na tangazo nimekidhi vigezo vyenu nitafurahi endapo nitachaguliwa ktk kulijenga taifa namba zangu za simu 0689464695

  1. Naitwa fridolini t ngonyani ni mtanzania harisi nimemaliza kidato cha nne nipo katika mkoa wa tabora ufaulu wangu ni division three ya 24 kwa elimu ya kidato cha nne namba zangu za simu ni 0768110285 au 0620234116 ninapenda sana kujiunga na jeshi la polisi hivyo nikipaata fursa ntashukuru sana kulitumikia taifa langu

  1. Chet gani knatakiwa? Wa kujitolea ama ata mujibu wa sheria? Na hyo ya kupitia kwa wakuu wa makambi kama haupo huko unafanyaje, na maombi unatumaje coz theres no any email link s

   1. Je kwa sisi ambao hatujabahatika kupata mafunzo ya jkt,jku hatuwezi kuomba nafasi ya kuitumikia taifa letu

     1. Aliyepitia mafunzo ya jeshi la akiba mafunzo ya awali . Nao hawahitajiki , na akawa na fani zilizoainisha hawawezi kupata nafasi?

 1. Pia Niko nyumbani kwa sasa baada ya kumaliza mijibu wa sheria na Cheri ninacho naruhusiwa pia kutuma maombi?

  1. Shukrani sana jeshi la ulinzi na usalaama Tanzania, kwa majina yangu naitwa Edgar Edward ni form 6 leaver 2021 pia nimeitimu mujibu wa sheria Bulombora JKT 2020, napenda sana kutumikia taifu letu la Tanzania kupitia kupitia jeshi la Tanzania, sema mkuu barua yenu sijaielewa vizuri kwa upande wa anwani ya kutumia barua, samahani mkuu naomba msaada zaidi, niweze kupata furusa hii namba zangu ni 0766289950& 0625425708.Natanguliza shukrani,
   Edgar Edward.

 2. Kwa mfano umepitia jkt na vyeti vya elimu unavyo lakini haupo kambini na kuandika barua kupitia viongozi wa kambi inakuaje wakati upo nyumbani..kwahiyo inaruhusiwa kuandika anuani niliopigia jkt

   1. Kama upo jku lkn bdo hujapt shety ndioo service gal hujamaliza kujenga taifa unafanyaje n vigez vyote unavo

 3. Ajira ni habari njema kwa vijana walio amua kujitolea kwa ajiri ya kulitumikia TAIFA lao,
  Ila ninalo Jambo moja nahtaj kueleweshwa
  Kwenye vigezo mlivyo orodhesha, kwamba hizo nafas ni kwa ajiri ya OP zote, lakin baadhi OP Kam MELELANI tayari hawana sifa kwa upande wa umri hata pia OP MAKAO MAKUU DODODMA ambao kwasasa Ndo wapo makambini kulingana na vigezo na masharti mliyo yaweka tayari inaonekana hawana sifa, mfano wakat wa kujiunga na JKT Kule mikoan, kwa kijana mwenyew ELIMU ya DIPLOMA Sifa/kigezo _ ya/Cha umri ilikuwa mwisho awe na 25 yrs, mfano kaingia na 25yrs hyo kwasasa kalitumikia JESHI kwa kipindi Cha MIAKA 2(miwili) au zaidi, ambapo atakuwa na MIAKA 27yrs– na kuendelea hivyo hivyo wa DEGREE kaingia 28yrs baadae ya miaka 2/3 bado una mguid awe na 28 yrs ileile ambapo anatakiwa 30yrs —+ hata wa kidato Cha 4 na la saba , Wakati wakingia JKT ,mlichukuw waliomazila kuanzia 2016, na Leo hii Mnataka walio maliza 2017.
  Hapo naomba mkuu kwa kibali chako uangalie kwa upande mwingine,sisi vijana wenu mtuangalie kuhusu Sifa na kigezo Cha umri.
  ……… ASANTEN…….

  1. Vip kuhusu wenye cfa ila hawajamaliza shule 2017 nakuendelea na pia wenye 4m4 dv 4 ya point 26, 27 na 28??

 4. Samaha naomba kuliza Kama bado uko jkt navigezo unavyo utaganyaje au ninjiagani unaweza kutumia iliku2ma maombi

 5. Hello, Samahan kwa usumbufu.
  Naomba kuuliza jaman, je waliomaliza 2011 mpaka 2014 kwa elimu ya sekondari yaan form 4 had 6, pia kumaliza chuo labda 2017 mpk 2018, je wanaweza kufanya application?

 6. Kwanza kabisa napenda kutanguliza pongezi zangu kwa jeshi la police nchini kwa kutuangalia sisi vijana wa kitanzania na kutupa fursa Kama hii mungu awabaliki Sana na Sana Mimi kwa majina naitwa JOSEPHAT NOVATUS KALAMBO. Ni mhitimu wa kidato cha nne 2019 na Nina ufaulu wa division 4 ya 29 ikiwa ya Kiswahili C,EnglishD, Biology D, Chemistry D na Civic D ninayofuraha kubwa kupata ujumbe na Nina imani kwa sifa na vigezo vilivyopo nitakuwa mmojawapo wa wachaguliwa katika nafasi hizo mungu awabaliki katika kazi zenu za kila siku kwa ajili ya kuilinda nchi yetu pia Nina vyetu vya scauti Kama vinaweza kukubalika

 7. Asante sana kwa taarifa,

  Kwa ambao hamtapata ni kupambana tu huku mtaani.

  Kamwe tusikate tamaa. Lengo ni kufanikiwa njia za kufikia mafanikio ni nyingi.

  Uvumilivu, Muendelezo na kung’ang’ania ni mambo ya muhimu kuyazingatia.

  Rafiki yako,

  Aliko Musa.

 8. Shukrani sana jeshi la ulinzi na usalaama Tanzania, kwa majina yangu naitwa Edgar Edward ni form 6 leaver 2021 pia nimeitimu mujibu wa sheria Bulombora JKT 2020, napenda sana kutumikia taifu letu la Tanzania kupitia kupitia jeshi la Tanzania, sema mkuu barua yenu sijaielewa vizuri kwa upande wa anwani ya kutumia barua, samahani mkuu naomba msaada zaidi, niweze kupata furusa hii namba zangu ni 0766289950& 0625425708.Natanguliza shukrani,
  Edgar Edward.

 9. Kazi mzuri sana makamanda wetu wa Tanzania, mimi naona vigezo vyote ninavyo vya kujiunga na jeshi lenu la polisi, kwa sababu mafunzo ya JKT mujibu nimefuzu, cheti cha form 4 ninacho, cheti cha form 6 ninacho namba ya NIDA ninayo, uzalendo ninao, afya imara ninayo. Swali langu ni kwamba barua zinapelekwa kweye posta yoyote au ni posta za manimsipaa?
  Wako mtiifu,
  Edgar Edward.

   1. Samahani, kuna form wamesema zinaoatikana online zakujaza, mbona hazipo? Nisaidie nazipataje tafadhali 0655909908

   2. Naomba kuuliza kwa wale ambao tumetuma mwanzo maombi na tulituma kwa njia ya posta EMS sasa tunatka tuone majina yetu kama tumechaguliwa ama vipi tunafanyaje?

 10. Samahan Kuna ambao hatukueleweshwa vizur jinsi ya kutuma mwanzo tuliambiwa maombi tukatume posta lakin naona imebadirika kwa ambao hatuko makambini tumetuma kwa makao makuu ya jeshi dodoma..kwa heshima na tahadhima ninaomba tupewe nafasi kwa ambao tumekosea jinsi ya kutuma ila vigezo vyote viko sawa..Asante

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *